Bingwa wa michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC) anapatikana leo katika uwanja wa July 05 wakati USM Alger watakapowakaribisha Yanga katika mchezo wa pili wa fainali
Yanga ikiwa nyuma kwa mabao 2-1, inahitaji kuibuka na ushindi wa kuanzia mabao mawili ili kutwaa taji hilo
Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ameanza na kikosi hiki;

ADVERTISE HERE