Mashabiki USM Alger waifanyia vurugu Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jun 2023
Mashabiki USM Alger waifanyia vurugu Yanga

Usiku wa kuamkia leo, mashabiki wa USM Alger walivamia hotel waliyofikia Yanga huko Algeria na kufanya vurugu

Kulikuwa na mfululizo wa fataki na kelele za mashabiki katika Hoteli ya Legacy ambayo Yanga imefikia

Yanga tayari imewasilisha malalamiko kwa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kutokana na vurugu hizo

Hata hivyo wachezaji wote wako salama wakisubiri kushuka dimbani majira ya saa 4 usiku katika mchezo wa pili fainali kombe la Shirikisho, Yanga ikihitaji kushinda mabao 2-0 ili kutwaa ubingwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’