Dege litakaloipeleka Yanga Algeria

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 May 2023
Dege litakaloipeleka Yanga Algeria

Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi Avic Town kujiandaa na mchezo wa marudiano fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya USM Alger ambao utapigwa Jumamosi, Juni 03 huko Algeria

Yanga inajifua huku ikifahamu inahitaji kuibuka na ushindi wa angalau mabao 2-0 huko ugenini ili kutwaa ubingwa wa CAF CC

Habari njema kwa Yanga wakati huu, safari yao itakuwa moja kwa moja na ndege ya ATCL

Ile changamoto ya kuunganisha ndege kutoka nchi moja kwenda nyingine haitakuwepo baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kutoa ndege hiyo ambayo itabeba wachezaji, viongozi na mashabiki

Yanga huenda ikaondoka nchini mapema Alhamisi na timu itaondoka Algeria kurejea Tanzania baada ya mchezo dhidi ya USM Alger utakaopigwa siku ya Jumamosi, saa 4 usiku

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’