Tayari umekamata tiketi yako Mwananchi?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 May 2023
Tayari umekamata tiketi yako Mwananchi?

Ni siku moja imesalia kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza nusu fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Marumo Gallanst

Mkakati wa Yanga ni kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo ambao utapigwa Jumatano, May 10 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Tayari Yanga imeandika rekodi kwa kuwa timu ya kwanza Tanzania kutinga nusu fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Kutokana na ubora wa kikosi cha Yanga msimu huu, nusu fainali haitoshi, Wananchi wanalitaka kombe lenyewe. Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema INAWEZEKANA kuwa mabingwa

Mkakati wa kutinga fainali unaanzia nyumbani kwa kuhakikisha Yanga inapata ushindi mnono dhidi ya Marumo Gallants

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amewataka Wananchi kununua tiketi zao mapema ili kuwa sehemu ya historia inayokwenda kuandikwa siku ya Jumatano

OUR TEAM, OUR TIME ni kauli mbiu maalum kuelekea mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’