Bonasi ya Mama ni 10M kuanzia nusu fainali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Apr 2023
Bonasi ya Mama ni 10M kuanzia nusu fainali

Rais Samia Suluhu Hassan ameongeza hamasa kwa timu za Simba na Yanga zinazoshiriki mashindano ya CAF akiongeza dau kwa kila bao litakalofungwa hatua ya nusu fainali kutoka Tsh Sh5 milioni hadi Sh10 milioni

Mabao yatakayolipwa ni yale yatakalofungwa ndani ya dakika 90 au 120 za mchezo na sio yatakayopatina kwenye mikwaju ya penalti baada ya mchezo kuisha ili kumpata mshindi.

Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Rais Samia amezitakia kheri Yanga na Simba kuhakikisha zinapambana ili kuendelea kupata mafanikio katika mashindano hayo ya CAF

"Rais Samia Suluhu Hassan anazitakia kila la kheri Simba na Yanga na amewataka wachezaji kujituma uwanjani na kutumia maarifa yao yote kuhakikisha wanashinda michezo ya kukamilisha robo fainali ili wafanikiwe kuingia nusu fainali ambapo kila goli litakuwa Sh10 milioni," alisema Msigwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’