Baada ya kuwasili katika mji wa UYO, Nigeria mapema leo kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Rivers United, kikosi cha Yanga kimeanza maandalizi kuelekea mchezo huo ambao utapigwa Jumapili







ADVERTISE HERE