Tumewaangusha, tutarudi tukiwa imara - Musonda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Apr 2023
Tumewaangusha, tutarudi tukiwa imara - Musonda

Mshambuliaji wa Yanga kennedy Musonda amewaomba radhi mashabiki wa timu hiyo kufuatia kupoteza mchezo wa derby dhidi ya Simba ambao ulipigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jana

Ukiwa mchezo wake wa kwanza wa derby tangu ajiunge na Yanga mwezi Jaunauri 2023, Musonda amesema matokeo hayo yamemuumiza sana na pia anafahamu machungu ambayo wamewasababishia mashabiki wao

"Tunawashukuru mashabiki wetu kwa sapoti mliotupa jana, najua tumewaangusha na inauma sana hata kuamka leo baada ya kupoteza derby yangu ya kwanza"

"Lakini bado tunawahitaji sana sasa kuliko hapo awali.Tumejifunza kutokana na makosa yetu na tutarudi tukiwa na nguvu na njaa zaidi ya mafanikio," alisema Musonda

Huo ulikuwa mchezo wa pili kwa Yanga kupoteza kwenye ligi msimu huu ukiwa pia ni mchezo wa kwanza kupoteza dhidi ya Simba kwenye ligi katika kipindi cha miaka mitatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’