Ni suala la Muda tu Wananchi wanakwenda kukamilisha jambo lao uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba
Hali ya hewa mpaka sasa ni shwari, pamoja na uwepo wa mawingu ya hapa na pale.Saa chache zimesalia kuelekea mtanange mwenyewe majira ya saa 11 jioni
Taratibu mashabiki wameanza kusogea dimba la Mkapa tayari kwa mtanange huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka ukanda wa Afrika Mashariki na hata pembe nyingine za Afrika
Kama bado huna tiketi wahi mapema uwanjani, unaweza kujipatia tiketi
ADVERTISE HERE