Moloko mbioni kuongeza mkataba Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Mar 2023
Moloko mbioni kuongeza mkataba Yanga

Baada kuonyesha kiwango bora msimu, winga wa Yanga Jesus Moloko yuko mbioni kuongeza mkataba mpya

Yanga inaendelea na mchakato wa kuhuisha mikataba ya wachezaji wake ambayo inaelekea ukiongoni

Moloko ni miongoni mwa wachezaji ambao wako kwenye orodha ya kusaini mikataba mipya

Nyota huyo tayari amepewa mkataba na kinachosubiriwa ni yeye kusaini

"Tunamuongeza mkataba mpya, nadhani bila kificho ukiwatathimini mawinga wetu utaona mtu pekee aliyedumu kwa ubora hasa msimu huu ni Moloko,"

"Tumeshampa mkataba tunasubiri majibu yake na uongozi wake, nadhani amekuwa ndiye winga aliye katika kiwango bora katika mafanikio ambayo tunakwenda kuyapata msimu huu"

"Ukiacha suala la kiwango chake ripoti zinaonyesha pia hata nidhamu yake iko juu haya yote yanatusukuma kumpa kitu ambacho kitampa nguvu ya kuendelea kubaki hapa zaidi," mmoja wa mabosi wa Yanga alinukuliwa na Mwanaspoti

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’