Kama ilivyo kawaida, leo Jumamosi zoezi la jogging ya Wananchi kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya US Monastir linafanyika kuanzia Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam
Wananchi wanaweka afya sawa tayari kwenda kuwakabili US Monastir katika mchezo ambao Yanga inahitaji ushindi ili kutinga robo fainali ya kombe la Shirikisho

ADVERTISE HERE