Klabu ya Yanga kwa kushirikiana na mpango wa Taifa wa damu salama Hospitali ya Mloganzila pamoja na Hospitali ya Mifupa MOI, wameandaa zoezi la uchangiaji Damu Hospitali ya Mloganzila na Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam
Zoezi hilo litafanyika kuanzia saa 3 asubuhi ambapo tiketi na jezi zitatolewa kwa wote watakaoshiriki

ADVERTISE HERE