Vikundi vya ushangiliaji kujifua Uwanja wa Uhuru

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Mar 2023
Vikundi vya ushangiliaji kujifua Uwanja wa Uhuru

Unaambiwa hiyo Jumapili, US Monastir hawataamini kile watakachokutana nacho kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kutokana na maandalizi yanayofanyika

Huu ni mchezo muhimu kwa Yanga kusaka nafasi ya kutinga robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Hilo litafanikishwa kwa Yanga kuibuka na ushindi. Wananchi wanajiandaa ndani na nje ya uwanja ili kuhakikisha ushindi unapatikana

Leo majira ya saa 9 mchana, vikundi vya ushangiliaji vitakutana uwanja wa Uhuru kwa ajili ya mazoezi 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’