Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Geita Gold, klabu ya Yanga imeweka rekodi ya kushinda mechi 11 mfululizo katika ligi kuu ya NBC msimu huu
Tangu wapoteze mechi dhidi ya Ihefu Fc Novemba 29, 2022, Yanga imeshinda mechi zote zilizofuata idadi ikifikia mechi 11
Wananchi wamekusanya alama 33 katika mechi hizo 11

ADVERTISE HERE