Nabi afurahishwa na maendeleo ya Mzize

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Mar 2023
Nabi afurahishwa na maendeleo ya Mzize

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ameeleza kufurahishwa na maendeleo ya mshambuliaji wake kinda Clement Mzize

Mzize aliyepandishwa kikosi cha kwanza mwanzoni mwa msimu huu, amekuwa na mwenendo mzuri wa kupachika mabao akiweka kambani mabao tisa katika mashindano yote

Nabi amesema kiwango cha Mzize kinazidi kukua siku hadi siku na ana imani kama ataendelea kujituma atafanya mambo makubwa zaidi

"Kadri ninavyompa dakika za kucheza ndivyo kiwango chake kinazidi kukua siku hadi siku. Kikubwa akijengeka kujiamini atafanya mambo makubwa zaidi kwani soka linahitaji ushindani, nidhamu na kujituma"

"Pia maarifa yake ya kazi yatazidi kuongezeka maana atajifunza mbele ya wengine ili kuboresha kiwango chake," alisema Nabi

Mwenyewe Mzize amesema anafurahi kucheza na washambuliaji mahiri kama Fiston Mayele na Kennedy Musonda akijifunza mambo mengi kutoka kwao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’