Beki wa Mtibwa Sugar, Iddy Moby Mfaume amefariki dunia leo mchana katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma. Klabu ya Mtibwa Sugar imethibitisha kifo cha Moby ambaye ameugua kwa siku moja tu

Mwenye ez Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema, peponi Amen..
ADVERTISE HERE