Yanga kuzindua Full Shangwe Buguruni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Mar 2023
Yanga kuzindua Full Shangwe Buguruni

Leo Alhamisi, March 02 saa 8 mchana klabu ya Yanga itazindua hamasa kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Real Bamako ambao utapigwa JUmatano ijayo, March 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Katika tukio hilo mashabiki watapata nafasi ya kuonana ana kwa ana na viongozi wao, kuzungumza na wachezaji pia kununua tiketi kuelekea mchezo dhidi ya Real bamako ambao Yanga inahitaji kushinda ili kufikisha alama saba ambazo zitawasogeza karibu na lengo la kufuzu robo fainali

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amewataka mashabiki na Wanachama wa timu hiyo kujongea Buguruni Chama kwa ajili ya uzinduzi huo

"Mashabiki na Wanachama waje kwa wingi katika uzinduzi huu mkubwa, tutapika ugali hapo Buguruni hivyo wasisahau kubeba sukari...!," aliweka utani Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’