Yanga kutumia uwanja wa Azam Complex

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Mar 2023
Yanga kutumia uwanja wa Azam Complex

Baada ya uwanja wa Benjamin Mkapa kufungwa kwa muda kutumika mechi za ndani, klabu ya Yanga imetangaza kutumia uwanja wa Azam Complex, kuwa uwanja wake wa nyumbani

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema mchezo wa kombe la FA dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa Ijumaa, March 03 utapigwa katika uwanja huo, saa 1 usiku

Kamwe amewataka mashabiki wa Yanga maeneo ya jirani na Chamazi kuhakikisha wanajitokeza kwa wingi kuishangilia timu yao katika mchezo huo na mechi nyingine za ligi kuu ambazo watacheza hapo

Yanga ndio mabingwa watetezi kombe la Shirikisho la Azam. Dhamira ni kuhakikisha wanatetea taji hilo kwa msimu wa pili mfululizo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’