Happy Birthday Feisal Salum

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Feb 2023
Happy Birthday Feisal Salum

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji Feisal Salum 'Fei Toto'

Pamoja na sintofahamu iliyojitokeza, Wananchi bado wanaimani mgogoro utamalizika na fundi huyu wa mpira atarejea kuendelea na majukumu yake

Juzi Rais wa Yanga Injinia Hersi Said aliweka bayana kuwa Feisal bado ana mkataba na Yanga hadi May 2024, uongozi umemtaka arejee kikosini

Hersi alisema Feisal amerubuniwa na watu ambao hawamtakii mema yeye na klabu ya Yanga kwani kama kuna timu ilitaka kumsajili, ilipaswa kufuata utaratibu

Sisi Wananchi tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake

HAPPY BIRTHDAY FEISAL...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
6h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’