Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya TP Mazembe jana, tutarajie kuona dimba la Mkapa likijaa mapema zaidi katika mchezo utakaofuata dhidi ya Real Bamako
Hongera na shukrani za kipekee ziwafikie wale waiojitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa jana na kuwaongezea hamasa wachezaji na hatimaye kuibuka na ushindi wa kihistoria dhidi ya TP Mazembe
Ushindi ambao unaifanya Yanga kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kuifunga TP Mazembe katika mashindano ya CAF










ADVERTISE HERE