Wananchi wako tayari kwa 'shoo' ya Jumapili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Feb 2023
Wananchi wako tayari kwa 'shoo' ya Jumapili

Wakazi wa Tegeta na maeneo ya jirani leo walikuwa na nafasi ya kuzungumza na viongozi wao ikiwa sehemu ya hamasa kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe ambao utapigwa Jumapili, Februari 19 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Hamasa imekuwa kubwa mtaani kuelekea mchezo huo ambao Yanga inahitaji kushinda ukiwa ni mchezo wa kwanza nyumbani kwenye michuano ya kombe la Shirikisho

Tiketi zinaendelea kuuzwa, hakikisha umekamata yako mapema...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’