Yanga yatabiriwa nusu fainali Shirikisho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Feb 2023
Yanga yatabiriwa nusu fainali Shirikisho

Mabingwa wa soka Tanzania, Yanga ni miongoni mwa klabu zinazopewa nafasi ya kufanya vizuri kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika ambapo watacheza mechi yao ya kwanza hatua ya makundi siku ya Jumapili dhidi ya US Monastir

Kulingana na mtandao wa @africasoccerzone ambao umekusanya takwimu kulingana na kiwango na mwenendo wa timu husika kwa msimu huu, Yanga inashika nafasi ya nne

Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe amesema takwimu hizo zinaonyesha Yanga ni moja ya timu bora barani Afrika kwa sasa

Kamwe amesema ni wakati wa Yanga kwenda kudhihrisha kwa vitendo kuwa wako tayari kuipeperusha bendera ya Yanga Kimataifa

"Hii ni orodha rasmi ya timu kubwa kwenye mashindano haya. Kwa Facts hiyo, kwa ubora wetu, Afrika inatuona kwenye Nusu Fainali, msimu huu"

"Ombi langu kwenu, Twendeni Tukajitoe kwa asilimia 100%. Kama tulivyofanya mara ya mwisho Tulipokuwa kwenye Ardhi hii. Mamilioni ya Wananchi kule Tanzania, wanakesha wakiwaombea. Wanaamini Uwezo wenu unaweza kutupa Pointi 3 hapa Tunisia," alisema Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’