Morrison anapambana arejee mapema

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Feb 2023
Morrison anapambana arejee mapema

Winga Bernard Morrison anapambana na majeraha akiendelea na program maalum ya mazoezi

Morrison sio sehemu ya kikosi kilichosafiri Tunisia kwa ajili ya mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi kombe la Shirikisho dhidi ya US  Monastir ambao utapigwa Jumapili Februari 12

Nyota huyo ameweka video kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii akionyesha anavyoendelea kupambana na majeraha hayo

Taarifa ya kitabibu ya Yanga, ilibainisha kuwa Morrison ameimarika kwa asilimia 40 hivyo ataendelea na program maalum ya mazoezi kwa wiki nyingine kadhaa

Morrison anatarajiwa kurejea kikosini mwanzoni mwa mwezi April 2023

Habari njema ni kuwa atauwahi mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba utakaopigwa April 16

Morrison alikosa mchezo wa duru ya kwanza akitumikia adhabu ya kufungiwa mechi tatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’