Hersi anaitangaza Yanga Kimataifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Feb 2023
Hersi anaitangaza Yanga Kimataifa

Rais wa Yanga, Eng Hersi Said yuko Falme za Kiarabu ambapo leo aliitembelea timu ya Royal FC inayoshiriki Ligi daraja la tatu kwenye Umoja wa Falme za Kiarabu.

Klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka huu, inamilikiwa na matajiri kadhaa akiwemo Ali Mohammed Bujsaim ambaye ni refa mwenye heshima kubwa duniani akiwa na rekodi ya kuchezesha Fainali za Kombe la Dunia mara tatu (1994,1998,2022)

Ziara ya Injinia Hersi imelenga kutengeneza mahusiano mazuri kwa ajili ya kusaidia vijana wa Kitanzania kupata fursa ya kucheza soka kwenye Umoja wa Falme za Kiarabu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’