JKT Queens, Yanga Princess hakuna mbabe

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Feb 2023
JKT Queens, Yanga Princess hakuna mbabe

Mchezo wa ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' kati ya vinara wa ligi hiyo JKT Queens dhidi ya Yanga Princess umemalizika kwa matokeo ya suluhu ya bila kufungana

Haukuwa mchezo mwepesi kwa kila upande, JKT Queens wakidhihirisha kwa nini hawajapoteza mchezo msimu huu

Yanga Princess watajilaumu wenyewe kwa kupoteza nafasi kadhaa za wazi

Baada ya matokeo hayo JKT Queens wamefikisha alama 17 wakiendelea kkubaki nafasi ya kwanza wakati Yanga Princess wakifikisha alama 14 katika nafasi ya nne

Simba Queens iko nafasi ya pili ikiwa na alama 16 sawa na Fountain Gate timu hizo zikitofautiana mabao ya kufunga na kufungwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’