Msako wa ubingwa wa 29 unaendelea Jumamosi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Feb 2023
Msako wa ubingwa wa 29 unaendelea Jumamosi

Vinara wa ligi kuu ya NBC, Yanga siku ya Jumamosi, Februari 04 watashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Namungo Fc katika mchezo wa raundi ya 22

Yanga inausaka ubingwa wa 29 katika historia wakiwa ndio mabingwa watetezi msimu uliopita wakirejesha taji hilo walilolipoteza kwa watani zao kwa misimuu minne mfululizo

Mechi tisa zimesalia kuhitimisha msimu, baada ya mechi ya Jumamosi dhidi ya Namungo, zitabaki nane

Hesabu ya Yanga ni kushinda mchezo huo na mingine sita itakayofuata ili kutetea ubingwa

Katika mwezi Februari Yanga itacheza mechi mbili za ligi kuu mechi nyingine ikiwa dhidi ya KMC itakayopigwa Februari 22

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe ametamba kuwa watahakikisha wanatwaa ubingwa kabla ya April 16 ili siku hiyo ambayo watacheza na Simba, wapewe gwarid la heshima

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’