Wananchi dimbani dhidi ya Rhino Rangers, kombe la FA

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Jan 2023
Wananchi dimbani dhidi ya Rhino Rangers, kombe la FA

Kikosi cha Yanga leo saa 1 usiku kitashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Rhino Rangers katika mchezo wa kombe la FA kuwania nafasi ya kutinga hatua ya 16 bora

Ni mchezo wa mtoano ambao lazima mshindi apatikane, kama dakika 90 zitamalizika kwa sare, mikwaju ya penati itaamua

Pamoja na kuwa mpira wa miguu una matokeo matatu, ushindi kwa Rhino Rangers leo ni sawa na mende kuangusha kabati

Yanga na Rhino Rangers ziko katika madaraja tofauti ya ubora, Rhino watahitaji muujiza kuwafunga Wananchi leo

Itakuwa mechi nzuri kwa Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi kukipima kikosi chake baada ya mazoezi ya wiki nzima

Rhino Rangers wametamba kuwa hawataingia kinyonge kwenye mchezo huo, kwani nao wanahitaji kutinga hatua ya 16 bora

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’