Jumatatu ya wiki ijayo Wananchi wana jambo lao! Bila shaka ni uzinduzi wa jezi maalum ambazo zitatumika kwenye hatua ya makundi michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika
Mbunifu wa jezi za Yanga, Sheria Ngowi ametamba kuwa jezi hizo sio tu zinakwenda kuitikisa Tanzania , hata Afrika na Dunia nzima itajua

ADVERTISE HERE