Yanga inawania rekodi ya kibabe Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jan 2023
Yanga inawania rekodi ya kibabe Ligi Kuu

Ushindi wa Yanga dhidi ya Ruvu Shooting hapo jana unawafanya mabingwa hao watetezi ligi kuu ya NBC kushinda mechi nane mfululizo tangu walipopoteza mchezo dhidi ya Ihefu Fc

Yanga wameifikia rekodi ya ushindi wa mechi nane mfululizo katika ligi msimu huu iliyowekwa na Azam Fc

Kwa ujumla Yanga imeshinda mechi tisa mfululizo ikiwa ni pamoja na mechi ya kombe la FA dhidi ya Kurugenzi

Kama watashinda mchezo unaofauata kombe la FA dhidi ya Rhino Rangers, utakuwa mchezo wa 10

Aidha ikumbukwe Wananchi wameweka mkakati wa kushinda mechi nyingine saba mfululizo ili kuhakikisha wanatetea ubingwa kwa msimu wa pili

Kama malengo hayo yatafanikiwa, basi Yanga itaweka rekodi ya aina yake ya kushinda zaidi ya mechi 15 mfululizo

Yanga inaonyesha kwa vitendo dhamira ya kutetea ubingwa kwani hata katika mechi ambazo haichezi vizuri, imefanikiwa kuondoka na alama zote tatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’