Kwa sasa Yanga mpango mkakati wake ni kushinda, ushindi wa bao 1-0 una alama tatu kama ulivyo ushindi mwingine wowote
Ushindi wa leo dhidi ya Ruvu Shooting unaifanya Yanga izidi kuusogelea ubingwa wa 29
Katika zile mechi nane, mechi moja tayari imetiki hivyo zimebaki mechi saba
Alama 56 kileleni mwa msimamo wa ligi, tofauti ni alama sita

ADVERTISE HERE