Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu Fc hapo jana, Yanga haina muda wa kupoteza kwani leo imerejea mazoezi kujiandaa na mchezo unaofuata katika ligi kuu dhidi ya Ruvu Shooting ambao utapigwa Jumatatu, Januari 23 katika uwanja wa Benjamin Mkapa







ADVERTISE HERE