Matchday ; Yanga vs Ihefu Fc, NBC PL, Jan 16

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Jan 2023
Matchday ; Yanga vs Ihefu Fc, NBC PL, Jan 16

Kikosi cha Yanga leo majira ya saa 12:30 jioni litashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ihefu Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Ni mchezo wa kwanza wa ligi kwa Yanga kwa mwaka 2023 ukiwa mchezo wenye umuhimu wa kipekee kwa Wananchi

Yanga inazihitaji alama zote tatu ili kuendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi

Lakini pia ni mchezo ambao Yanga itaingia ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza mchezo wa duru ya kwanza dhidi ya Ihefu Fc

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema lengo lao kuu ni kushinda mchezo huo pasipo kujali watafunga mabao mangapi

Katika mchezo huo Yanga itawakosa baadhi ya wachezaji wake wa kikosi cha kwanza kutokana na sababu mbalimbali

Zawadi Mauya, Aboutwalib Mshery na Yannick Bangala ni majeruhi wakati Bernard Morrison na Stephane Aziz Ki walipewa ruhusa kusafiri kutokana na matatizo ya kifamilia

Habari njema kwa Wananchi ni ongezeko la nyota wapya kikosini Mudathir Yahya na Kannedy Musonda ambao walishiriki kikamilifu mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
13h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
18h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’