Beki kisiki anayetajwa kutua Jangwani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Jan 2023
Beki kisiki anayetajwa kutua Jangwani

Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe ametamba kuwa mabingwa hao wa soka Tanzania Bara watamsajili beki wa Kimataifa mwenye sifa za aina yake

Kamwe amesema beki huyo mrefu ni mahiri sana kwenye mipira ya vichwa

Tetesi zinamtaja mlinzi wa Kimataifa raia wa Mali, Mamadou Doumbia anayecheza klabu ya Stade Malien ya hukohuko Mali

Ukiitaja Stade Malien basi unakumbuka hii ndio klabu aliyotoka mlinda lango namba moja wa Yanga Djigui Diarra

Yanga inatarajiwa kufunga usajili na wachezaji wawili wa Kimataifa, mmoja akiwa ni beki wa kati ya mwingine ni mshambuliaji

Ni siku tatu pekee zimesalia kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Januari 15 2023, siku ya Jumapili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
43m ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
12h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
16h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
21h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’