Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa mshambuliaji wa Yanga Yacouba Songne
Baada ya kuwa nje kwa takribani mwaka mzima akiuguza majeraha ya goti, Yacouba amepona na sasa yuko tayari kuitumikia Yanga
Yacouba alikuwa na wakati mzuri kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi, ana nafasi kubwa ya kurejeshwa kikosini
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu ya kuzaliwa
HAPPY BIRTHDAY YACOUBA...!
ADVERTISE HERE