Ni vita ya mabingwa kombe la Mapinduzi leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
4 Jan 2023
Ni vita ya mabingwa kombe la Mapinduzi leo

Leo usiku Yanga itashuka uwanja wa Amaan kuwakabili KMKM katika mchezo wa kombe la Mapinduzi

Yanga ni mabingwa wa ligi kuu ya Tanzania Bara, wataumana na mabingwa wenzao wa Zanzibar, KMKM

KMKM wametoka kupoteza mchezo wao wa kwanza dhidi ya Singida BS wakifungwa mabao 2-0 hivyo wataingia kwenye mchezo huo wakiwa na lengo la kusaka ushindi

Aidha ushindi ambao Mlandege Fc waliupata dhidi ya Simba jana, umewapa matumaini KMKM kuwa nao wanaweza kuwaondosha Yanga kwenye michuano hiyo

Hata hivyo wanakutana na Yanga ambayo iko imara, timu ambayo sio tegemezi kwa wachezaji wachache

Kikosi cha Yanga kinachoshiriki michuano ya kombe la Mapinduzi, kinajumuisha wachezaji 13 wa kikosi cha kwanza na wachezaji 12 wa timu ya vijana U20

Kocha Msaidizi wa Yanga Said Maulid ambaye anashirikiana na Kocha Cedric Kaze kwenye michuano hiyo, amesema wako tayari kwa mchezo huo wakitua Zanzibar kusaka ubingwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’