Injinia Hersi afunguka kuhusu Feisal

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Dec 2022
Injinia Hersi afunguka kuhusu Feisal

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema watahakikisha hakuna mchezaji mzuri ataondoka katika kikosi cha Yanga

Hersi amesema wanaendelea na michakato kuwaongezea mikataba wachezaji ambao mikataba yao imebakiza muda mfupi

Akizungumza kuhusu kiungo Feisal Salum 'Fei Toto', Injinia Hersi amesema kiungo huyo fundi ataendelea kuitumikia Yanga kwa kuwa bado ana mkataba wa muda mrefu

Amesema kama uongozi jukumu lao la kwanza ni kuhakikisha wachezaji wao wazuri hawaondoki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’