Yanga yawataka Akaminko, Kipre Jr

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Dec 2022
Yanga yawataka Akaminko, Kipre Jr

Wakati Azam Fc wakiwa bado 'wanasuasua' kuwasilisha ofa kwa ajili ya kumsajili kiungo Feisal Salum 'Fei Toto', klabu ya Yanga imewasilisha rasmi barua kwa Azam Fc ikitaka kuwasajili kiungo James Akaminko pamoja na winga Kipre Jr

Yale mawindo ya bosi hatimaye yamewanasa Akaminko na Kipre Jr, Mfadhili wa Yanga GSM amedhamiria kuwaleta nyota hao Jangwani

Aidha hii ni nafasi nzuri sasa kwa Yanga na Azam Fc kufanya biashara sahihi

Yanga imefuata taratibu za kuwasajili wachezaji hao kwa kuwa bado wana mikataba ya Azam Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’