Leo ikiwa ni Christmas, alizaliwa winga aliye katika kiwango bora sana Jesus Moloko aka 'Yesu wa Congo'
Ni katika siku ambayo Yanga ina jambo lake pale uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc
Moloko aliwatungua Azam Fc msimu ulipita, leo inaweza kuwa siku nzuri kwake na akarudia kile alichowafanya Azam Fc katika mchezo ambao Yanga ilishinda mabao 2-0
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY MOLOKO...!
ADVERTISE HERE