Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele ndiye mchezaji aliyehusika katika mabao mengi zaidi baada ya mechi 17 za ligi kuu ya NBC
Mayele amehusika katika mabao 14 akifunga mabao 13 na kutoa pasi moja ya bao
Anafuatiwa na Sixtus Sabilo wa Mbeya City aliyehusika katika mabao 13 akifunga mabao 7 na kutoa pasi 6 za mabao

ADVERTISE HERE