Jumapili Disemba 25 2022, Yanga itahitimisha xMas kunako uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc
Azam Fc watakuwa wenjeji wa mchezo huo ambao utapigwa kuanzia saa 2:15 usiku
Viingilio vya mchezo huo tayari vimetangazwa na Azam Fc ambapo VIP A ni Tsh 10,000/-, VIP B na C ni Tsh 7,000/- na Mzunguuko ni Tsh 3,000/-

ADVERTISE HERE