Matchday : Yanga vs Polisi Tanzania, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Dec 2022
Matchday : Yanga vs Polisi Tanzania, NBC PL

Kikosi cha Yanga leo majira ya saa 1 usiku kitashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuumana na Polisi Tanzania katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Ni mchezo muhimu kwa Yanga kuwania alama zote tatu ili kuendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi

Jana Azam Fc walidondosha alama mbili mkoani Kagera baada ya kulazimishwa sare ya mabao 2-2 dhidi ya Kagera Sugar

Kimahesabu Yanga inaweza kunufaika na sare hiyo kama itaibuka na ushindi leo, kwani wataongeza wigo wa tofauti ya alama dhidi ya Azam Fc kuwa tano

Kocha Msaidizi wa Yanga Cedric Kaze amesema leo watawakabili Polisi Tanzania wakiwa katika wakati wao bora zaidi msimu huu

Wamepata muda mzuri wa mapumziko na kufanya maandalizi ya kiufundi huku wakiwa wana mchezaji mmoja tu ambaye ni majeruhi, mlinda lango Aboutwalib Mshery

Ni mchezo wa kwanza kwa kocha Mwinyi Zahera kuchuana na waajiri wake wa zamani, Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
40m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
15h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
19h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
20h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
20h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’