Dirisha dogo la usajili kwa klabu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake ya Serengeti Lite limefunguliwa leo Disemba 16 2022 na litafungwa Januari 15 2023
Klabu zinatakiwa kutumia kipindi hicho cha usajili na kukamilisha uhamisho

ADVERTISE HERE