Aliyekuwa kocha Simba Queens atua Yanga Princess

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2022
Aliyekuwa kocha Simba Queens atua Yanga Princess

Klabu ya Yanga imemtangaza kocha Sebastian Nkoma kuwa Kocha Mkuu wa Yanga Princess akichukua nafasi ya Edna Lema ambaye mkataba wake ulisitishwa

Nkoma ndiye aliyeiongoza Simba Queens kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Wanawake msimu uliopita na pia kuisaidia timu hiyo kuibuka mabingwa wa soka la Wanawake ukanda wa CECAFA na kukata tiketi ya kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa

Nkoma pia amewahi kuzifundisha timu mbalimbali za Wanaume kwenye Ligi Kuu, ikiwemo Majimaji ya Songea, Moro United na Rhino Rangers

Pia amewahi kuwa sehemu ya benchi la ufundi la timu ya Taifa ya vijana ya Serengeti Boys, iliyofuzu AFCON ya Gabon, mwaka 2017

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
10h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
15h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’