Makambo kuibuka Singida BS

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Dec 2022
Makambo kuibuka Singida BS

Singida Big Stars wanatajwa kuwa kwenye mazungumzo na Yanga kwa ajili ya kumsajili mshambuliaji Heritier Makambo, imefahamika

Makambo amekuwa na wakati mgumu kupata nafasi mbele ya mshambuliaji kinara Fiston Mayele

Singida Big Stars inaweza kuwa chaguo sahihi kwake kurejesha makali kwani hatakuwa katika presha kubwa ukilinganisha na alipo Yanga

Hata hivyo usajili huo huenda ukamshuhudia kiungo mahiri wa Singida Big Stars Bruno Gomes akitua Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi amevutiwa na uwezo wa Gomes na anadhani anaweza kuongeza umahiri katika safu yake ya kiungo

Msimu huu Gomes ameifungia Singida Big Stars mabao matatu kwenye ligi akitumika katika nafasi zote za kiungo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’