Majeraha ya goti yamuweka Mshery nje

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Dec 2022
Majeraha ya goti yamuweka Mshery nje

Mlinda lango Aboutwalib Mshery amepata majeraha ya goti ambayo yatamuweka nje kwa takribani mwezi mmoja

Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema Mshery hatakuwa miongoni mwa wachezaji wanaorejea mazoezini leo kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa kombe la FA dhidi ya Kurugenzi ambao utapigwa Jumapili, Disemba 11

Aidha Harrison amesema wachezaji wengine waliokuwa majeruhi, Farid Mussa na Salum Abubakar 'Sure Boy' wataendelea kukosekana

Farid anatarajiwa kuwa nje kwa wiki mbili akiuguza jeraha la nyama za paja wakati Sureboy akisubiri vipimo vya kina kubaini majeraha yanayomsumbua

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’