Kikosi cha Yanga kimewasili Ruangwa, mkoani Lindi kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Majaliwa
Wananchi wanatarajiwa kukamilisha maandalizi yao ya mwisho majira ya saa 1 usiku katika dimba la Majaliwa







ADVERTISE HERE