Mayele arejea, Farid, Sureboy kuikosa Namungo Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Dec 2022
Mayele arejea, Farid, Sureboy kuikosa Namungo Fc

Kikosi cha Yanga kimewasili mkoani Mtwara wakiwa safarini kuelekea Ruangwa ambako wanakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo utakaopigwa siku ya Jumatano

Habari njema kwa Wananchi ni kurejea kikosini kwa mshambuliaji Fiston Mayele ambaye alikosa mchezo wa jana dhidi ya Tanzania Prisons akiwa ni majeruhi

Lakini Wananchi watamkosa mpishi wa bao pekee lililofungwa na Feisal Salum katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons, Farid Mussa ambaye alipata majeraha katika mchezo huo

Farid na Salum Abubakar 'Sureboy' hawakujumuishwa katika msafara ulioelekea mkoani Lindi wote wakiwa ni majeruhi

Orodha ya wachezaji waliosafiri;

Djigui Diarra, David Bryson, Erick Johola, Kibwana Shomary, Joyce Lomalisa, Djuma Shabani, Ibrahim Abdullah, Dickson Job na Yanick Bangala

Wengine ni Khalid Aucho, Gael Bigirimana, Zawadi Mauya, Jesus Moloko, Tuisila Kisinda, Denis Nkane na Clement Mzize

Pia wamo Stephane Aziz Ki, Bernard Morrison, Fiston Mayele, Dickson Ambundo na Feisal Salum.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’