Mwananchi hakikisha umekamata tiketi yako mapema kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Baada ya kuweka rekodi ya kucheza mechi 49 pasipo kupoteza kwenye ligi, Yanga inakwenda kufurahia rekodi hiyo, ikiwapongeza wachezaji na benchi la ufundi kwa mafanikio hayo
Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe amesema kutakuwa na matukio mbalimbali ya burudani yatakayoanza mapema kabla ya mchezo ambao utapigwa kuanzia saa 1 usiku
Hii unaweza kuifananisha na wiki ya ndogo ya Mwananchi kwani shangwe zinatarajiwa kuanza majira ya saa 8 mchana

ADVERTISE HERE