Tuko imara na tayari kuwakabili Prisons - Mwamnyeto

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Dec 2022
Tuko imara na tayari kuwakabili Prisons - Mwamnyeto

Nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto amewataka mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumapili Disemba 04 katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tanzania Prisons

Mwamnyeto amesema wachezaji wote wamerejea mazoezini wakiwa na ari, dhamira yao ni kupata ushindi katika mchezo huo

Baada ya kupoteza mchezzo dhidi ya Ihefu Fc ambao uliwatibulia rekodi yao ya 'unbeaten', Mwamnyeto amesema wachezaji hawafikirii matokeo ya mchezo huo kwani lengo lao ni kutetea ubingwa na hivyo wanapaswa kufanya vizuri katika michezo inayofuata

"Tunaendelea vizuri na mazoezi kujiandaa na mchezo dhidi ya Prisons. Mechi iliyopita tulipoteza lakini hatujafa nguvu zaidi imetuongezea morali ya kupambana kuhakikisha tunafanya vizuri katika michezo mingine inayofuata"

"Tunawaomba mashabiki wetu waje kwa wingi siku ya Jumapili watupe sapoti kwenye mchezo dhidi ya Prisons," alisema Mwamnyeto

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
7h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
11h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
16h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
19h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’