Bodi ya Ligi Kuu imeipongeza klabu ya Yanga kwa kuingia katika historia ya klabu zilizocheza mechi nyingi za ligi pasipo kupoteza barani Afrika
Yanga inashika nafasi ya nne miongoni mwa klabu zilizocheza mda mrefu zaidi pasipo kupoteza barani Afrika
Asec Mimosas, Esperance na APR ndio klabu zilizo juu ya Yanga kwa wingi wa mechi walizocheza pasipo kupoteza

ADVERTISE HERE