Mchezo wa ligi kuu kati ya Ihefu Fc dhidi ya Yanga utapigwa uwanja wa Highland Estate, Mbalali mkoani Mbeya
Ihefu Fc wenyeji wa mchezo huo wametangaza viingilio ambayo VIP ni Tsh 20,000/- na Mzunguuko ni Tsh 10,000/-

ADVERTISE HERE